Nafasi za Masomo Elimu ya Madini 2024/25

Nafasi za Masomo Elimu ya Madini 2024/25

MAFUNZO YA UHAKIKA NA VITENDO KWA ADA NAFUU KABISA Uongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), unatangaza nafasi za masomo elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia katika ngazi ya Cheti na Diploma, kwa muhula wa masomo wa 2024/25. KOZI ZINAZOTOLEWA Utafutaji na...

Pin It on Pinterest