MAFUNZO YA UHAKIKA NA VITENDO KWA ADA NAFUU KABISA
Uongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), unatangaza nafasi za masomo elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia katika ngazi ya Cheti na Diploma, kwa muhula wa masomo wa 2024/25.
KOZI ZINAZOTOLEWA
Utafutaji na Uchimbaji wa Madini (Exploration & Mining Geology)
Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia (Petroleum Geology)
- Chuo kimesajiliwa na NACTVET kwa usajili wa namba; REG/SAT/158.
- Mwombaji awe na ufaulu wa kuanzia D nne kwa masomo angalau mawili ya sayansi Au ufaulu wa NVTAL3.
- Kumbuka: Ada inaruhusiwa kulipwa kwa awamu nne (4) kwa mwaka, mwanzoni mwa kila muhula na mwishoni kabla tu ya kuanza mitihani ya muhula
- Hostel zipo kwa watakaowahi kuomba, Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29/2/2024