Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Wanafunzi – Warden
Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), kinawatangazia wananchi wote wenye sifa nafasi ya ajira ya Msimamizi wa Wanafunzi (Warden). Hivyo wahitimu wote kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 10-20...
Tangazo la Nafasi za Masomo Elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia kwa Muhula wa 2023/24
MAFUNZO YA UHAKIKA NA VITENDO KWA ADA NAFUU KABISAUongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), unatangaza nafasi za masomo elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia katika ngazi ya Cheti na Diploma, kwa muhula wa masomo wa 2023/24.KOZI ZINAZOTOLEWA Utafutaji na Uchimbaji...
Mwongozo Wa Utoaji Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Stashahada (Cheti Na Diploma)
Waombaji wote wa mikopo ya diploma wazingatie kuwa na namba ya mtihani, vyeti vya kuzaliwa na ua kifo, taarifa za benki na namba ya simu na NIDA, zote ziwasilishwe kupitia HESLB mtandao
Study Opportunities In Exploration, Mining and Petroleum Geology 2023-24
QUALITY TRAINING OFFER: WITH LOTS OF PRACTICALS AND FIELD WORKThe management of Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) invites application to study Basic Certificate and Ordinary Diploma in Exploration and Mining Geology and Petroleum Geology for the academic...