by Web Admin | Dec 3, 2023 | Announcements, Fulltime Job Vacancies, Job Vacancies, Our Blog
Tangazo la Nafasi za Ajira Msimamizi wa Wanafunzi - Warden 1 file(s) 295.81 KB Download Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), kinawatangazia wananchi wote wenye sifa nafasi ya ajira ya Msimamizi wa Wanafunzi (Warden). Hivyo wahitimu wote kutoka vyuo vinavyotambuliwa na...