Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) kinafuraha kutangaza kuwa kimepata Tuzo Maalumu ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Elimu katika Maonyesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika Geita kuanzia tarehe 23/09/2026 hadi 03/10/2026. Mafanikio haya yanaendelea kuthibitisha nafasi ya ESIS kama kituo kinachoongoza kwa ubora, ubunifu na mchango mkubwa katika kuandaa wataalamu wanaoendana na mahitaji ya sekta ya madini nchini.

Pin It on Pinterest