[featured_image]
Download
Download is available until [expire_date]
 • Version Toleo la pili 2024
 • Download 2
 • File Size 1.01 MB
 • File Count 1
 • Create Date 28 May 2024: 4:14 pm
 • Last Updated 28 May 2024: 5:16 pm

Jinsi ya kupata mkopo wa Elimu ya Chuo Tanzania

Mwongozo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa Stashahada Tanzania

 1. Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo
  wa mwaka wa masomo 2023/2024;
 2.  Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne
  atakayoitumia mwombaji iwe sawa na aliyoombea udahili
  wa chuo;
 3. Kuhakikisha kuwa fomu ya maombi ya mkopo na mkataba
  zimesainiwa na viongozi wa serikali ya mtaa, mdhamini na
  kamishna wa viapo.;
 4.  Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla
  ya kuziwasilisha HESLB kwa njia ya mtandao;
 5. Kuhakikisha kwamba vyeti vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa
  na Wakala w Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa
  Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar (ZCSRA) au Afisa
  aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo;
 6. Kwa mwombaji mwenye akaunti ya benki ajaze taarifa zake
  kwa usahihi kwenye fomu ya maombi ya mkopo;
 7. Kwa mwombaji mwenye Namba ya simu na kitambulisho
  cha taifa (NIDA) ahakikishe anajaza namba hizo wakati wa
  kuomba mkopo.
 8. Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa
  mwisho wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao.

Pin It on Pinterest