- Version Toleo la pili 2024
- Download 378
- File Size 1.01 MB
- File Count 1
- Create Date 28 May 2024: 4:14 pm
- Last Updated 28 May 2024: 5:16 pm
Jinsi ya kupata mkopo wa Elimu ya Chuo Tanzania
Mwongozo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa Stashahada Tanzania
- Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo
wa mwaka wa masomo 2023/2024; - Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne
atakayoitumia mwombaji iwe sawa na aliyoombea udahili
wa chuo; - Kuhakikisha kuwa fomu ya maombi ya mkopo na mkataba
zimesainiwa na viongozi wa serikali ya mtaa, mdhamini na
kamishna wa viapo.; - Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla
ya kuziwasilisha HESLB kwa njia ya mtandao; - Kuhakikisha kwamba vyeti vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa
na Wakala w Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa
Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar (ZCSRA) au Afisa
aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo; - Kwa mwombaji mwenye akaunti ya benki ajaze taarifa zake
kwa usahihi kwenye fomu ya maombi ya mkopo; - Kwa mwombaji mwenye Namba ya simu na kitambulisho
cha taifa (NIDA) ahakikishe anajaza namba hizo wakati wa
kuomba mkopo. - Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa
mwisho wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
HESBL inatakiwa kuangalia kaya masikini wengine wanasoma kwa shida wakati waliopewa mkopo wana Hali nzuri kifedha hii sio sawa kabisa
I beg loan
ningependa kupata mkopo huu
Dodoma
I have a sponsor who committed to pay tuition fee but unfortunately after i get university they clam that they don’t have awareness with the university i was selected.
They fired me from program and i didn’t have time to ask for loan if your willing to help me please do that