Pata mafunzo bora kabisa kwa vitendo. Wahi nafasi sasa ili kusomea cheti na au diploma kwenye utafutaji na uchimbaji wa madini pamoja na Utafutaji wa Mafuta na Gesi kupitia Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) kwa msimu wa 2023 unaoanza mwezi wa kumi.