Ofa: Masomo ya Madini na Gesi kwa 2024/25
Tunatoa mafunzo bora kabisa kwa vitendo kuanzia mwaka wa kwanza. Wahi nafasi sasa ili kusomea cheti na au diploma kwenye utafutaji na uchimbaji wa madini pamoja na Utafutaji wa Mafuta na Gesi kwenye Chuo chako pendwa cha Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) kwenye mwaka wa masomo wa 2024/25.
Wahi nafasi sasa nafasi ni chache sana. Unaweza tumia fomu iliyopo hapa chini kutuma maombi yako kwa njia masafa. Unaweza pia pakua fomu na ukajaze nyumbani kisha tutumie kwa njia ya email. Maelezo yuote yako kwenye fomu.