- Version
- Download 9
- File Size 295.81 KB
- File Count 1
- Create Date 25 September 2023: 5:45 pm
- Last Updated 25 September 2023: 5:45 pm
Tangazo la Nafasi za Ajira Msimamizi wa Wanafunzi - Warden
Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), kinawatangazia wananchi wote wenye sifa nafasi ya ajira ya Msimamizi wa Wanafunzi (Warden). Hivyo wahitimu wote kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 10-20 septemba, 2023. Nafasi iliyopo ni kwa wahitimu kuanzia elimu ya shahada na kuendelea.