Nafasi za Masomo Elimu ya Madini 2024/25
Mwongozo Wa Utoaji Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Stashahada (Cheti Na Diploma)
Waombaji wote wa mikopo ya diploma wazingatie kuwa na namba ya mtihani, vyeti vya kuzaliwa na ua kifo, taarifa za benki na namba ya simu na NIDA, zote ziwasilishwe kupitia HESLB mtandao
TANGAZO LA AJIRA-Nafasi ya Mkufunzi wa Sayansi Asili 01 (Natural Sciences-Tutor).
TANGAZO LA AJIRA Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), kinawatangazia wananchi wote wenye sifa nafasi ya ajira ya Mkufunzi wa Sayansi Asilia 01 (Natural Sciences-Tutor). Hivyo wahitimu wote kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi...
