Get Adobe Flash player

1. Wanafunzi wote wafike Chuoni kuchukua vyeti vyao kabla ya tarehe 28.09.2019
2. Wanafunzi wote wahakikishe matokeo yao yapo sawa na wamepata Award Verification Number (AVN) kutoka NACTE kabla ya tarehe 28.09.2019.

Kwa maulizo yoyote kuhusiana na tangazo hili wawasiliane na Mr. Geofrey/Mkuu wa idara ya taaluma kabla ya tarehe 28.09.2019.