Get Adobe Flash player

1. Wanafunzi wote wenye shida mbalimbali za mitihani na matokeo yao wanapaswa kuwasilisha shida hizo kwa Mr. Geofrey kabla ya tarehe 22.08.2019

2. Mitihani ya Supplementary, special na carryovers itafanyika kuanzia tarehe 26.08.2019, mitihani hii ina gharama zifuatazo:
A. Supplementary examination fee ni Tshs 30,000 @ module
B. Special examination fee ni Tsh 30,000 @ module
C. Carry over fee ni Tsh 300,000 @ student

Ada hizi zilipwe kabla ya tarehe 23.08.2019 na mwanafunzi hataruhusiwa kufanya mtihani wowote kama hajalipa ada stahiki.