Tangazo la Nafasi za Masomo Elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia kwa Muhula wa 2022/23
MAFUNZO YA UHAKIKA NA VITENDO KWA ADA NAFUU KABISA

Uongozi wa Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS), unatangaza nafasi za masomo elimu ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia katika ngazi ya Cheti na Diploma, kwa muhula wa masomo wa 2022/23.
KOZI ZINAZOTOLEWA
Utafutaji na Uchimbaji wa Madini (Exploration & Mining Geology)
Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia (Petroleum Geology)
* Chuo kimesajiliwa na NACTVET kwa usajili wa namba; REG/SAT/158.
* Mwombaji awe na ufaulu wa kuanzia D nne kwa masomo ya sayansi, Au ufaulu wa NVTAL3.* Ada ni nafuu na watakaowahi kuomba kabla ya 30/7/2022 watakuwa wakilipa asilimia 50 ya ada ya kila mwaka* Hostel zipo kwa watakaowahi kuomba, Mwisho wa kutuma maombi ni 30/7/2022 na Masomo yataanza tarehe 3/10/2022
